Spotlight Kurunzi ya Kiswahili PP1
KSh 730.00 Original price was: KSh 730.00.KSh 630.00Current price is: KSh 630.00.

Kurunzi Mazoezi ya Lugha Kitabu cha Mwanafunzi Kiwango cha 1 cha Chekechea kimeandaliwa kwa ustadi kwa kuzingatia Mtaala wa Kiumilisi wa Kiwango cha 1 cha Chekechea ulioboreshwa. Kitabu hiki kimelenga kumwezesha mwanafunzi kumudu stadi
za Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma na Kuandika kwa njia inayolingana na kiwango chake.
Yaliyomo
Kitabu hiki cha mwanafunzi kina mazoezi mbalimbali, kama vile:
*mazoezi ya darasani
*mazoezi ya mwanafunzi ya kufanya akiwa nyumbani
*mazoezi ya mwanafunzi kujifurahisha anapojifunza lugha
*mazoezi ya kuandika.
Kurunzi Mazoezi ya Lugha Kitabu cha Mwanafunzi Kiwango cha 1 cha Chekechea kina Mwongozo wa Mwalimu unaoandamana nacho ili kumwongoza mwalimu katika ufunzaji.



There are no reviews yet.