Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop

Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop
Sale!

Spotlight Kurunzi ya Kiswahili Gredi 8 (Approved) by Spotlight

Original price was: KSh1,095.00.Current price is: KSh985.00.

Kurunzi ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8 kimeandaliwa kwa ustadi kuzingatia Mtaala wa Umilisi wa Gredi ya 8. Kitabu hiki kitamwezesha mwanafunzi kumudu stadi za Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Kuandika na Sarufi kwa njia inayoafiki kiwango chake.

Yaliyomo

Kitabu hiki cha mwanafunzi kina mazoezi na mijarabu anuwai, kama vile:
-Shughuli kwa Mwanafunzi

-Shughuli ya Wanafunzi Wawiliwawili

-Shughuli ya Vikundi

-Shughuli ya Nyumbani

-Shughuli ya Ziada

-Tamthmini ya Mwisho wa Mada

Kurunzi ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8 kina Mwongozo wa Mwalimu unaoandamana nacho ili kumwongoza mwalimu na kumpa mapendekezo ya ufunzaji.

ISBN: 9789966573834

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Spotlight Kurunzi ya Kiswahili Gredi 8 (Approved) by Spotlight”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Sale!

Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop
Call Us