Sale!
Sale!
Spotlight IRE Activities Literacy
Original price was: KSh630.00.KSh583.00Current price is: KSh583.00.
KSh630.00 Original price was: KSh630.00.KSh583.00Current price is: KSh583.00.
Longhorn Kiswahili Mufti ni kitabu kilichoandikwa kwa mtindo wa mazoezi kwa kuzingatia mtaala mpya unaokusudiwa kujenga ujuzi wa mwanafunzi kupitia utendaji na uvumbuzi wa maarifa. Kitabu hiki kimetimiza kikamilifu mahitaji ya mada zote za silabasi mpya ya somo la Kiswahili kwa wanafunzi wa gredi ya kwanza
Kinalenga kumsaidia mwanafunzi kutumia vifaa vya teknolojia kama vile video, redio na tabuleti katika kurahisisha ujifunzaji.
* Â Mbinu tofauti za ujifunzaji zimejumuishwa kama vile kazi mradi, shughuli nje ya darasa, kumwalika mgeni, kutumia nyimbo, mashairi, kumhusisha mzazi au mlezi, uchoraji na ujifunzaji katika vikundi. Mbinu hizi zinasaidia kuujenga umilisi wa mwanafunzi.
* Mada na shughuli za ujifunzaji zimeshughulikia masuala mtambuko na kumsisitizia mwanafunzi maadili.
* Kitebu cha mwalimu kipo ili kumpa mapendekezo katika ufunzaji.
ISBN: 9789966572165 SKU: 2010127000813
Reviews
There are no reviews yet.