Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop

Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop
Sale!

Phoenix Hatua za Kiswahili Rasmi GD3 (Approved)

Original price was: KSh633.00.Current price is: KSh570.00.

Hatua za Kiswahili Rasmi, Kitabu cha mwanafunzi ni mfululizo wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa ufundi kwa kufuata mtalaa mpya unaosisitiza umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunz: kukuza weledi wake katika stadi za kusikiliza na kuzungumza, sarufi na matumizi ya lughakusoma na kuandika. Vitabu hivi vina sifa zifuatazo:

 

– Mada kuu zilizopangwa kwa kuzingatia ruwaza ya mtalaa ya Kiswahili Gredi ya 3 ili kurahisisha utumiaji.

– Vipindi vilivyopangwa kushughulikia mada ndogo mbalimbali kulingana na ruwaza ya mtalaa.

– Picha na michoro iliyochorwa kwa rangi za kupendeza ili kuvutia usomaji na ujifunzaji.

–  Maswali dodoso yanayochochea uwezo wa mwanafunzi kufikiria na kudadisi masuala mbalimbali.

– Kazi za ziada na majaribio yanayomhusisha mwanafunzi binafsi, wanafunzi wawiliwawili na wanafunzi kwenye makundi katika shughuli ainaaina.

–  Mradi wa nyumbani unaowahusisha wazazi na walezi katika ujifunzaji wa Kiswahili na pia kukuza uwajibikaji.

–  Hadithina utajiri wa shughuli nyingine zinazokuza umilisi wa kimsingi wa lugha ya Kiswahili na zilizooanishwa na masuala mtambuko, maadili chanya miongoni mwa masuala mengine.

– Matumizi ya teknolojia kwa mfano kusikiliza sauti redioni na unasaji sauti kwa kutumia simu na vifaa vingine vya kiteknolojia.

ISBN: 9789966479327

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Phoenix Hatua za Kiswahili Rasmi GD3 (Approved)”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Category:
Sale!

Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop
Call Us