Nimefufuka! 7B
Sikitu anasongwa na matatizo mengi katika maisha yake. Hana mtu wa kumfariji ila shangaziye anayeishi mbali naye. Hisia za Sikitu ni kama za mfu, amepoteza njia , amevishuhudia visa na mikasa kwa awapendao. Madawa ya kulevya na ufasiki vimewateka wanaopaswa kuwa karibu naye. Lakini anajua kuwa baina ya mauti na uhai, kuna kitendo.
Kitendo cha kupalilia uhai au kukaribisha mauti. Sikitu anapochukua kalamu na karatasi kuandikia shangaziye barua, hajui kwamba ameanza safari. Kabla ya kutia nanga, anajipata ana jipya jipya………Chaurembo na tayari amefufuka!
ISBN: 9789966369708
Rated 0 out of 5
0 customer reviews
KSh 308.00 Original price was: KSh 308.00.KSh 280.00Current price is: KSh 280.00.
Category: Storybooks

Nimefufuka! 7B
Reviews
0
Rated 0 out of 5
0 customer reviews
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0
Be the first to review “Nimefufuka! 7B” Cancel reply
Related Products
Saving Our Teacher by Queenex
Rated 0 out of 5
(0)
Fool’s Express by Okoth
Rated 0 out of 5
(0)
Queenex the Fat Cat by Kazungu
Rated 0 out of 5
(0)
Baraka and the Bully by Queenex
Rated 0 out of 5
(0)
Queenex: The Big Gift and Other Stories Grade 1a by Queenex
Rated 0 out of 5
(0)
Madam King by Elsa Geylan
Rated 0 out of 5
(0)
What a Fright and Other Stories
Rated 0 out of 5
(0)
ATIENO SKIPS TO THE CITY EAEP
Rated 0 out of 5
(0)
Hug from the President and other stories by Kariuki
Rated 0 out of 5
(0)
The Bike Thief by Queenex
Rated 0 out of 5
(0)
Queenex Sudi the Drummer and other Stories 2C by Rebecca Nandwa
Rated 0 out of 5
(0)
The Lost Phone and Other Stories Grade 3a
Rated 0 out of 5
(0)
The Net Trap and Other Stories Grade 1d
Rated 0 out of 5
(0)
The Mouse Trap and Other Stories by Queenex
Rated 0 out of 5
(0)
A Rainy Day by Anne Maline
Rated 0 out of 5
(0)
Queenex The Billy Goat and Other Stories 2B by Rebecca Nandwa
Rated 0 out of 5
(0)
Bella the Butterfly Girl by Rebecca Nandwa
Rated 0 out of 5
(0)
Joy Kids Bible
Rated 0 out of 5
(0)




There are no reviews yet.