Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop

Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop
Sale!

Adhabu ya Joka by Bitugi Matundura

Original price was: KSh450.00.Current price is: KSh405.00.

Furaha ya kila mwanandoa huwa ni kupata mtoto …Kibuka na Kalimuzo wanaishi kwa miaka kumi na miwili bila kujaaliwa kupata mtoto. Maadamu Mungu si Athumani, hatimaye wanajaaliwa kupata mtoto wa kiume wanayemwita Ziro. Je, mtoto huyu alikuwa chanzo cha furaha au huzuni kwa wazazi wake? Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo ni methali yenye mashiko makuu katika maisha ya Ziro. Analelewa katika mazingira ya kuenpekezwa sana na wazazi wake kiasi cha kumfanya kuishia kuwa samaki ambaye hakukunjwa angali mbichi. Je, Ziro anabadilika hatimaye? Hii ni hadithi ya kuwaonya vijana dhidi ya uhalifu kama vile wizi kwani Ziro anapata adhabu ya joka anapoiba sanduku lililodhaniwa kuwa na pesa nyingi sana.

ISBN: 9789966362131

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Adhabu ya Joka by Bitugi Matundura”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Category:
Sale!

Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop
Call Us