Kamusi Teule ya Kiswahili by Ahmed E Ndalu, Hamisi Babausa, Suleiman A Mirika
KSh1,300.00
KAMUSI TEULE ya Kiswahili – Kilele cha Lugha
“Ni zao la utafiti wa kina uliofanywa na waandishi na wanaleksikogrofiawenye tajriba kubwa.
Kamusi hii imetungwa kwa utaalamu mkuu na kwa kuzingatia msomajilengwa.”
Kamusi hii ina;
Maneno ya jumla zaidi ya 320, 000Vidahizo na vibadala zaidi ya 35, 000Picha za kuvutia msomajiEtimolojia ya vidahizoNgeli za manenoWingi wa manenovidahizo vya taaluma mbalimbaliIstilahi za ushairiIstilahi za fasihi andishi
ISBN: 2010127000576
Reviews
There are no reviews yet.