Sale
Scan_20230922_159_YCgpdkj

Msako wa Haki (Queenex)

0 customer reviews

Original price was: KSh 480.00.Current price is: KSh 350.00.

Compare
Category:
Msako wa Haki (Queenex)
Original price was: KSh 480.00.Current price is: KSh 350.00.

Ainea anaitalii sayari yenye vimbwanga vya kila nui kwa madhumuni ya kupata haki. Safari yake inakumbwa na vikwazo na visiki aina ainati vinavyokaribia kumkatisha tamaa. Pamoja na umri wake mdogo, usuli wake uliogubikwa na ukungu mzito unamfanya kuwa windo rahisi kwa makucha ya walimwengu.

Hali yake inadorora zaidi kwa kufikwa na ukiwa wa kuachwa na mzazi wa pekee. Maisha yanampeleka kote kote kama vile tiara ipeperushwavyo na upepo. Hatimaye, anaangukia nyota ya jaha inayomwongoza palipo heri. Malaika wake anampa kurunzi anayoitumia kusaka haki kule ilikojificha.

Reviews

0
0 customer reviews
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0

There are no reviews yet.

Be the first to review “Msako wa Haki (Queenex)”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Select at least 2 products
to compare