Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop

Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop
Sale!

Longhorn Kusoma na Kuandika Grade 1 (Approved)

Original price was: KSh500.00.Current price is: KSh450.00.

Kusoma na kuandika katika Kiswahili, Gredi 1 ni kimoja miongoni mwa vitabu vipya
vilivyoandikwa kwa kuzingatia mtaala mpya unaokuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa utendaji na uvumbuzi wa maarifa.
Kitabu hiki kinawawezesha wanafunzi kupata maarifa ya kimsingi,
stadi zifaazo za kusoma na kuandika, mienendo miema na maadili ya kimaisha
pamoja na utumizi kamili wa maarifa wanayoyapata darasani.
Shughuli na mazoezi katika kitabu hiki zimejikita kwenye uzoefu wa wanafunzi wa kila siku
pamoja na masuala ya kisasa na ibuka kama yalivyofafanuliwa kwenye mtaala mpya.
Kitabu hiki kimeandikwa kwa lugha rahisi na inayoibua tafakari tanduizi ili
kukuza ujuzi wa kutafakari na kuimarisha stadi za kimaisha za usuluhishaji wa matatizo ili kukidhi
mahitaji ya wanafunzi katika jamii.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Longhorn Kusoma na Kuandika Grade 1 (Approved)”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Category:
Sale!

Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop
Call Us