Kiswahili Dadisi Kitabu Cha Mwanafunzi Gredi 2
Rated 0 out of 5
0 customer reviews
KSh 750.00 Original price was: KSh 750.00.KSh 685.00Current price is: KSh 685.00.

Kiswahili Dadisi Kitabu Cha Mwanafunzi Gredi 2
Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 2
Kiswahili Dadisi ni msururu wa vitabu vitivyoandikwa kwa utaalamu na upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtataa wa umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma na Kuandika, na vilevite Sarufi. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia, vinakuza umilisi utiopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka.
Katika Kiswahili Dadisi, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 2, utapata:
- mada zilizopangwa kwa kuzingatia muainisho wa mtaala mpya.
- mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika.
- mazoezi ya kuwahamasisha wanafunzi kuendeleza ujifunzaji nje ya darasa na yale yenye kuwashirikisha katika shughuti za kijamii zinazokuza ujifunzaji.
- mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja.
- mazoezi yanayompa mwanafunzi fursa ya kujitathmini.
Reviews
0
Rated 0 out of 5
0 customer reviews
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0
Be the first to review “Kiswahili Dadisi Kitabu Cha Mwanafunzi Gredi 2” Cancel reply
Related Products
Mentor Kielekezi cha Shughuli GD2 (Approved)
Rated 0 out of 5
(0)
CBC CADENZA ECYCLOPAEDIA GRADE 2
Rated 0 out of 5
(0)
Brands :
ACCESS & LEARN MATHS GRADE 2
Rated 0 out of 5
(0)
CBC BREAKTHROUGH WORKBOOK VOLUME 2 GRADE 2 MORAN
Rated 0 out of 5
(0)
BEGINNING CREATIVE GRADE 2
Rated 0 out of 5
(0)
KLB Visionary Mathematical Activities Grade 2
Rated 0 out of 5
(0)
ATFAAL IRE ACTIVITY GRADE 2
Rated 0 out of 5
(0)
CBC BREAKTHROUGH WORKBOOK VOLUME 1 GRADE 2 MORAN
Rated 0 out of 5
(0)


There are no reviews yet.