Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop

Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop
Sale!

Kielekezi cha Kiswahili Pupils Grade 5 by E. Andati, K. Chituyi, N. Musyimi na S. Washika

KSh600.00

KIELEKEZI CHA MARUDIO YA KISWAHILI GREDI YA 5 KIELEKEZI cha marudio ya Kiswahili Gredi ya 5 kimeandaliwa kwa ustadi ili kumrahisishia mwanafunzi kuelewa mfumo mpya wa elimu ya umilisi. Kitabu hiki:
– Kimeandikwa kumwezesha mwanafunzi kukuza na kujenga ujuzi na uwezo wa kutumia stadi za lugha (Kusikiliza na kuzungumza, Kusoma, kuandika na Sarufi).
– Kimeandikwa kwa lugha rahisi na kutoa mifano mwafaka.
– kimeshughulikia Masuala mtambuko kama vile: uraia, utangamano, elimu ya amani, stadi za maisha, mazingira na teknolojia. – Kina Mazoezi muhimu ili kumsaidia mwanafunzi kufanya marudio.
– Kina Zoezi la Tathmini mwishoni mwa kila sura.
– Kina karatasi sita za Majaribio ya mitihani.
– Kimeandikwa na waandishi wenye tajriba kubwa katika ufundishaji wa somo la Kiswahili katika shule bora nchini Kenya. Aidha, wanaelewa mfumo wa umilisi kwa jumla.

ISBN: 9789966012487

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kielekezi cha Kiswahili Pupils Grade 5 by E. Andati, K. Chituyi, N. Musyimi na S. Washika”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Category:
Sale!

Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop
Call Us