Sale
Intensive KJSEA Kiswahili Paper 1 GD 7,8,9

Intensive KJSEA Kiswahili Paper 1 GD 7,8,9

0 customer reviews

Original price was: KSh 990.00.Current price is: KSh 900.00.

Compare
Intensive KJSEA Kiswahili Paper 1 GD 7,8,9
Intensive KJSEA Kiswahili Paper 1 GD 7,8,9
Original price was: KSh 990.00.Current price is: KSh 900.00.

Kitabu hiki kimeandaliwa kwa ustadi na umakinifu ili kumsaidia mwanafunzi wa gredi ya 7, 8 na 9 katika uelewa na umilisi wa lugha kwa njia ilivyorahisishwa kabisa.
Aidha, kitamwandaa katika kukabiliana na mtihani hasa wa KJSEA.

Sifa Za Kipekee za kitabu hiki;

  • Kimeshughulikia kikamilifu vipengele vya lugha kutoka gredi za chini hadi za juu,
  • Kimepangwa vizuri ambapo katika kila mwanzo wa kipengele kuna mambo ya kujifunza na zoezi la kukutanguliza katika yale yanayokusudiwa kushughulikiwa,
  • Kuna zoezi kila baada ya mada ili kujumuisha yaliyoshughulikiwa.
  • Kimegawa katika sehemu nne: Kusikiliza na kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Mazoezi ya KJSEA.
  • Maswali ya Majaribio kumi yaliyotungwa kwa kuzingatia muundo wa KJSEA.

Reviews

0
0 customer reviews
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0

There are no reviews yet.

Be the first to review “Intensive KJSEA Kiswahili Paper 1 GD 7,8,9”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Select at least 2 products
to compare