Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop

Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop
Sale!

Imarisha Lugha: Rehema awanasa wezi by Yahya Mutuku

Original price was: KSh322.00.Current price is: KSh290.00.

Ni siku chache zimesalia shule ya msingi ya Darajani ifungwe.
Walimu na wafanyakazi wote wana mkutano wa mwisho wa mwaka.
Rehema kiranja mkuu anagundua kuwa wageni wanaofika shuleni si wageni wazuri.
Wameingia maktabani na wanaendelea kuiba vitabu. Je, Rehema atapata wapi ujasiri na maarifa ya kupambana na wezi?
Na je, atawaweza wezi hao ambao tayari wamepakia vitabu katika magunia? Hii ni hadithi isiyoweza kusomwa mara moja.
Anza sasa hivi!
Yahya mutuu ni mwandishi wa vitabu vingi miongoni mwavyo: Siri ya Baba yangu kitabu cha kwanza. Mwisho wa Ujambazl,
Sungura Hakimu na hadithi nyingine, Wema wa Sofi na Hadithi Nyingine na vingine vingi.

ISBN: 9789966115027

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Imarisha Lugha: Rehema awanasa wezi by Yahya Mutuku”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Category:
Sale!

Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop
Call Us