Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop

Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop
Sale!

Hidaya (EAEP) by Juma Namlola Mohamed

Original price was: KSh555.00.Current price is: KSh500.00.

“Binti yangu amepata malezi mema zaidi. Ni mmoja kati ya watoto waliofundishwa nidhamu. Umri wake pia ni mdogo na anajiona kwamba hajatimia. Vilevile, sisi tuna maarifa yetu, ukitaka kumshika kuku unammwagia punje mojamoja. Naamini
ukiwa na subira kidogo, utafaidi tamu …”  Je, subira ya Bwanapesa itamfaidi?

Juma Namlola ni mhariri wa habari katika shirika la Nation Media Group akiwa na ujuzi wa miaka 23 kama mwanahabari.
Amewahi kuwa mhariri wa habari, Radio Salaam na mwendesha kipindi cha Msasa wa Lugha katika runinga ya QTV. Mbali na
Hidaya, riwaya zake nyingine ni Kinamasi Jangwani na Kula Kwa Mheshimiwa. Pia, ni mshairi wa miaka mingi, mwandishi na
mwelekezaji wa michezo ya kuigiza.

ISBN: 9789966567253

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Hidaya (EAEP) by Juma Namlola Mohamed”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Category:
Sale!

Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop
Call Us