Sale
Distinction Kipeo Cha Kiswahili GD7 (Rtd)

Distinction Kipeo Cha Kiswahili GD7 (Rtd)

0 customer reviews

Original price was: KSh 838.00.Current price is: KSh 750.00.

Compare
Distinction Kipeo Cha Kiswahili GD7 (Rtd)
Original price was: KSh 838.00.Current price is: KSh 750.00.

KIPEO CHA KISWAHILI GREDI YA 7 kimeandikwa kwa ajili ya mwanafunzi wa lugha ya Kiswahili katika shule ya msingi daraja la juu ili kujenga stadi na umahiri ufaao wa kuwasiliana, kutangamana na kushiriki katika miktadha mbalimbali ya kitaifa, kikanda na kimataifa kwa kutumia lughakuzungumza na kuandika.

Kutokana na mabadiliko hayo, kitabu hiki kitakuwa cha manufaa sana ikichukuliwa kuwa hii ndiyo gredi ya kati kati Kitengo hiki cha Shule ya Msingi Daraja la Juu. Kwa hivyo, ni muhimu sana kabla ya mwanafunzi kujiunga na gredi ya juu awe ana umilisi utakaomivezesha kuendeleza masomo yake katika somo la Kiswahili.

Reviews

0
0 customer reviews
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0

There are no reviews yet.

Be the first to review “Distinction Kipeo Cha Kiswahili GD7 (Rtd)”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Select at least 2 products
to compare