Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop

Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop
Sale!

Chemchemi za Kiswahili Kidato cha nne by Wamitila

Original price was: KSh794.00.Current price is: KSh715.00.

Chemchemi za Kiswahili ni mfululizo mpya wa vitabu vya Kiswahili ambavyo vimetayarishwa kwa kufuata silabasi mpya kwa shule za upili. Kitabu cha Chemchemi za Kiswahili, Kidato cha Nne kimezingatia mambo yafuatayo:

  • Vifungu vya ufahamu vya kuvutia na kusisimua vitakavyompa mwanafunzi mafunzo na mazoezi teletele.
  • Maelezo na ufafanuzi mustahili wa vipengee mbalimbali vya fasihi andishi na fasihi simulizi.
  • Ufafanuzi kwa kina kifaacho kuhusu uandishi wa kawaida, uandishi wa kiubunifu, uandishi wa insha na utungaji wa kisanii.
  • Uwasilishaji murua na unaoeleweka wa vipengee tofauti tofauti vya sarufi pamoja na mpangilio mpya wa ngeli.
  • Usomaji wa makala mbalimbali katika magazeti, majarida, vitabu n.k.
  • Mafunzo na mazoezi ya kusikiliza na kuzungumza yanayoburudisha na kushadidia vipengee mbalimbali muhimu kwa kuzingatia kiwango cha mwanafunzi wa kidato cha nne.
  • Mifano kabambe ya karatasi za mtihani wa Kiswahili zenye muundo mpya wa mtihani hitimishi wa KCSE.

ISBN: 9966495274

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Chemchemi za Kiswahili Kidato cha nne by Wamitila”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Category:
Sale!

Cart

Your Cart is Empty

Back To Shop
Call Us