Booklyst KJSEA Marudio Bobea Katika Sarufi GD 7,8 & 9
KSh 935.00 Original price was: KSh 935.00.KSh 850.00Current price is: KSh 850.00.

Bobea Katika Sarufi– Marudio Murua yo KJSEA ni kitaba kipya cha marudio kinachomlenga mwanafunzi wa Gredi ya 7 – 9, Kitabu hiki kimeandikwa kwa ustadi wa hali ya juu ili kumwandaa mwanafunzi hasa katika mtihani wa KJSEA.
Kitabu hiki kina sifa zinazokifanya kuwa kitabu bora cha marudio,
+ Kimeangazia mada zote za fasihi ambazo zinafundishwa katika Gredi ya 7 ~ 9 kwa kina.
+ Kitabu hiki kina maelezo ya kina kuhusa kila mada katiko Gredi ya 7-9.
+ Kitabu hiki kina tathmini ambazo zitamsaidia mwalimu na mwanafunzi katika maandalizi ya mtihani wa KJSEA.
+ Kitabu hii kina karatasi za tathmini ambazo zinalenga kumpa mwanafunzi uwezo wa kukabiliana na mtihani wa KJSEA.
+ Kitabu hiki kina picha za kuvutia mbazo zitampa mwanafunzi hamu ya kujifumza na kukuza kumbukumbu yake.


There are no reviews yet.