Sale
Upeo-Insha_0

Upeo Wa Insha Kwa Shule Za Upili

0 customer reviews

Original price was: KSh 1,100.00.Current price is: KSh 960.00.

Compare
Category:
Upeo Wa Insha Kwa Shule Za Upili
Original price was: KSh 1,100.00.Current price is: KSh 960.00.

‘Upeo wa Insha’ kwa Shule za Upili ni kitabu kilichoandikwa na walimu wenye tajiriba pana ili kumwongoza mwanafunzi hatua kwa hatua katika utungaji na uandishi wa insha. Katika kitabu hiki, utapata:

  • insha zote zilizopendekezwa katika silabasi ya Kiswahili kwa shule za upili.
  • maana ya kila aina ya insha.
  • miundo ya aina zote za insha.
  • sifa bainifu kwa kila aina ya insha.
  • umuhimu na tahadhari zinazoandamana na kila utungo.
  • mifano kemkemi ya insha, pamoja na maswali ya mazoezi.
  • maelezo kuhusu uandishi na utahini wa insha.

Kitabu hiki ni hazina tosha kwa mwanafunzi, mwalimu na yeyote ambaye angependa kuimarisha ujuzi wake wa mbinu za utungaji.

Reviews

0
0 customer reviews
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0

There are no reviews yet.

Be the first to review “Upeo Wa Insha Kwa Shule Za Upili”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Let's chat

Your Cart

9
KSh 4,625.00

Select at least 2 products
to compare

Your Cart

9
HATUA ZA KISWAHILI RASMI GREDI 3

HATUA ZA KISWAHILI RASMI GREDI 3

Quantity
KSh 640.00
Atfaal IRE Activity GD1

ATFAAL IRE ACTIVITY GRADE 1

Quantity
KSh 590.00
OUP COMPUTER SCIENCE TODAY GRADE 7

OUP COMPUTER SCIENCE TODAY GRADE 7

Quantity
KSh 810.00
New Beginning IRE Teachers Gude 6

New Beginning IRE Teachers Gude 6

Quantity
KSh 615.00
The Knife by Oxford

The Knife by Oxford

Quantity
KSh 295.00
Simulizi za Kibobu 2c by Moran

Simulizi za Kibobu 2c by Moran

Quantity
KSh 295.00
Adhabu ya Siafu lvl 3 (Queenex)

Adhabu ya Siafu lvl 3 (Queenex)

Quantity
KSh 190.00