Sale
4DVitukovyaSungura

Vituko vya Sungura

0 customer reviews

Original price was: KSh 350.00.Current price is: KSh 265.00.

Compare
Category:
Vituko vya Sungura
Original price was: KSh 350.00.Current price is: KSh 265.00.

Vituko vya Sungura 4d ni kitabu kinachotenga wanafunzi wa Darasa la Nne katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusomo. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:

  • Masimulizi rahisi ya hadithi za kale kwa njia ya shairi.
  • Kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia utambaji wa hadithi, ukariri wa beti za shairi, semi, tashihisi na picha za rangi zenye kusisimua.
  • Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya kusaidiana na kushirikiana wakati wa shida, stadi za maisha. uwajibikaji, utu, uvumilivu, uadilifu, haki, kuishi kwa utangamano na amani.
  • Mradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada ambao unaambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu .

Reviews

0
0 customer reviews
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0

There are no reviews yet.

Be the first to review “Vituko vya Sungura”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Let's chat

Your Cart

3
KSh 985.00

Select at least 2 products
to compare

Your Cart

3
Sungura Yuko Wapi

Sungura Yuko Wapi

You Saved 31%
Quantity
KSh 350.00 KSh 240.00
Queenex Premier Language Wkbk PP2

Queenex Premier Language Workbook- pre-unit

You Saved 18%
Quantity
KSh 550.00 KSh 450.00
kiparangoto

kiparangoto

You Saved 10%
Quantity
KSh 327.00 KSh 295.00
Payment Details
Sub Total KSh 985.00
Free shipping Free!
Shipping to Nairobi County.
Total KSh 985.00