Sale
8E-Vipawa-vya-Hasina_0

Vipawa vya Hasina

0 customer reviews

Original price was: KSh 460.00.Current price is: KSh 360.00.

Compare
Category:
Vipawa vya Hasina
Original price was: KSh 460.00.Current price is: KSh 360.00.

Vipawa vya Hasina’ ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa la Nane katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:

  • Masimulizi rahisi kwa njia ya hadithi, usimulizi kwa nafsi ya kwanza umoja, mbinu rejeshi na uzungumzi nafsia.
  • Kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi, dayolojia, misemo, methali, taharuki, tashibihi, tashihisi, takriri, kejeli, chuku, taswira, tanakali za sauti na picha za rangi zenye kusisimua.
  • Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya maisna ya nyumbani, shuleni, kijijini na jijini, malezi, mila ya ndoa za wasichana wadogo, afya, ujana na matatizo yake, umuhimu wa teknolojia, habari na mawasiliano, michezo, uwajibikaji, stadi za maisha, kazi, utu, uvumilivu, uadilifu, jinsia, haki za binadamu, haki za watoto, kuishi kwa utangamano na amani.

Mradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada ambao unaambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.

Reviews

0
0 customer reviews
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0

There are no reviews yet.

Be the first to review “Vipawa vya Hasina”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Let's chat

Your Cart

3
KSh 2,145.00

Select at least 2 products
to compare

Your Cart

3
Placeholder

Our Lives Today Environmental Teacher’s Guide

You Saved 13%
Quantity
KSh 800.00 KSh 700.00
Evolving World History & Citizenship Learner’s Book Grade 10

Evolving World History & Citizenship Learner’s Book Grade 10

You Saved 2%
Quantity
KSh 1,180.00 KSh 1,155.00
Moran Skills and Hobbies readers: Marko and the monster by Moran

Moran Skills and Hobbies readers: Marko and the monster by Moran

You Saved 10%
Quantity
KSh 322.23 KSh 290.00
Payment Details
Sub Total KSh 2,145.00
Free shipping Free!
Shipping to Nairobi County.
Total KSh 2,145.00