Sale
Utashi-wa-Dola-na-Hadithi-Nyingine

Utashi Wa Dola

0 customer reviews

Original price was: KSh 750.00.Current price is: KSh 685.00.

Compare
Category:
Utashi Wa Dola
Original price was: KSh 750.00.Current price is: KSh 685.00.

Kila mtu hufanya juhudi ili apate kufaulu maishani. Katika hali hii, ahadi nyingi hutolewa, miadi ikapangwa na mikakati kuwekwa ili kufanikisha maazimio. ‘Utashi wa Dola na hadithi nyingine’ ni mkusanyo wa hadithi fupi zinazoakisi maisha ya wanadamu: hisia zao, mitazamo yao, ndoto zao, matumaini yao. Ubora wa hadithi katika mkusanyo huu haumo tu katika uanuwai wa fani bali pia kwenye mseto wa ufundi wa wachangiaji ambao wana asili na mitazamo tofauti. Aidha, hadithi hizi zimeteuliwa kwa upekee wa maudhui yanayoangaziwa, kama vile tamaa, nafasi ya mtoto wa kiume, ufisadi, dhuluma na unyanyasaji, ubinafsi, mapenzi, ndoa, usaliti miongoni mwa mengine mengi.

Hadithi hizi zimeandikwa na waandishi, mahiri na chipukizi, kutoka maeneo mbalimbali ya Afrika Mashariki. Mchango wao katika diwani hii ni wa kipekee na bila shaka utakupa kila sababu ya kuthamini uanuwai wa tamaduni zetu mbalimbali, zinazofanikisha umoja wetu.

Reviews

0
0 customer reviews
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0

There are no reviews yet.

Be the first to review “Utashi Wa Dola”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Select at least 2 products
to compare