Sale
Twala-Wapi-Leo-COVER

Twala Wapi Leo

0 customer reviews

Original price was: KSh 450.00.Current price is: KSh 385.00.

Compare
Category:
Twala Wapi Leo
Original price was: KSh 450.00.Current price is: KSh 385.00.

Tumalize anashangazwa na hatua ya baba yake kuwapa kitu fulani, watu fulani, kila siku asubuhi anapoenda shuleni. Kitendo cha baba yake kinamtia mshawasha wa kutaka kujua ni kitu gani hicho wanachopewa watu wale. Juhudi zake za kutafuta maelezo kutoka kwa baba yake kuhusu kitu hicho na sababu ya yeye kukitoa kwa watu wale zinagonga mwamba. Kwa sababu hiyo, anaapa kufanya juu chini ill apate kujua kitu hicho, na sababu inayofanya watu wale wapewe kitu hicho.

Je, Tumalize atapata kujua kitu hicho wanachopewa watu hao? Je, atafanya nini ili kubaini kitu hicho? Je, ni nini kitatokea atakapopata kugundua kitu chenyewe?

Twala Wapi Leo? ni kisa cha kusisimua cha kiupelelezi. Kisa hiki kinaangazia masuala ya malezi, elimu, ufisadi, ujasiriamali miongoni mwa masuala mengine katika jamii. Kisa hiki kimesheheni mbinu na mitindo mbalimbali ambayo itamfaidi mwanafunzi katika kujenga ubunifu wake na vilevile lugha yake.

Kuhusu mwandishi

Shullam Nzioka ni mwandishi, mfasiri, msawidi na ashiki wa lugha ya Kiswahili. Ameandika kazi mbalimbali za fasihi, zikiwamo novela, hadithi fupi na hadithi za watoto. Kitabu chake, Mbona Hivi? kilishinda tuzo ya Jomo Kenyatta Prize for Literature kitengo cha kijana mnamo mwaka wa 2021. Baadhi ya kazi zake zilizowahi kuchapishwa ni pamoja na Si Kitu na Shani ya Saa (hadithi fupi) iliyo katika kitabu Utashi wa Dola. Mbali na hayo, amewahi kufanya kazi katika shirika la International Bible Students Association.

Reviews

0
0 customer reviews
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0

There are no reviews yet.

Be the first to review “Twala Wapi Leo”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Let's chat

Your Cart

2
KSh 33,400.00

Select at least 2 products
to compare

Your Cart

2
HP ProBook 430 G7 10th Gen Intel Core i5-10210U 8GB RAM 256GB ROM SSD 13.3" HD

HP ProBook 430 G7 10th Gen Intel Core i5-10210U 8GB RAM 256GB ROM SSD 13.3" HD

You Saved 6%
Quantity
KSh 35,000.00 KSh 33,000.00
Mama is a Mechanic by Story Moja

Mama is a Mechanic by Story Moja

You Saved 10%
Quantity
KSh 444.44 KSh 400.00
Payment Details
Sub Total KSh 33,400.00
Free shipping Free!
Shipping to Nairobi County.
Total KSh 33,400.00