Test It & Fix It KCSE Revision Kiswahili – 4th Edition
Rated 0 out of 5
0 customer reviews
KSh 2,015.00 Original price was: KSh 2,015.00.KSh 1,015.00Current price is: KSh 1,015.00.
Category: Revision Books

Test It & Fix It KCSE Revision Kiswahili – 4th Edition
Ijaribu na Uikarabati, Marudio ya KCSE’ toleo jipya ni kimoja kati ya msururu wa vitabu vya marudio, yaani Test it & Fix it revision Series. Kitabu hiki kimeandikwa kwa lengo la kumwezesha mwanafunzi kuboresha matokeo katika mtihani. Mada zote kwenye silabasi ya shule za sekondari zimeshughulikiwa ikiwa ni pamoja na mifano ya mitihani ya mwigo na ushauri kwa mwanafunzi ili kuhakikisha kuwa amejiandaa vilivyo kuukabili mtihani.
Katika Ijaribu na Uikarabati, Marudio ya KCSE toleo jipya utapata:
- Vidokezo vya jinsi ya kufaulu katika mtihani.
- Mambo muhimu ya kukumbuka unapojiandaa kwa mtihani.
- Muhtasari wa vipengele vyote vya lugha kwenye silabasi, kuhusiana na karatasi zote tatu za lugha ya Kiswahili, yaani, sarufi na matumizi ya lugha, isimujamii, ufahamu na ufupisho, insha, na fasihi simulizi na andishi.
- Tahadhari kwa makosa ya mara kwa mara ambayo wanafunzi hufanya katika mtihani na jinsi ya kujiepusha nayo.
- Mifano na mazoezi ya kutosha kwa kila kipengele cha lugha kilichoelezwa.
- Mitihani kumi na tano ya mwigo wa KCSE.
- Majibu ya maswali yote yaliyomo kwenye kitabu.
Vitabu vingine kwenye msururu huu
- Test it & Fix it: KCSE Revision Mathematics
- Test it & Fix it: KCSE Revision Biology
- Test it & Fix it: KCSE Revision Physics
- Test it & Fix it: KCSE Revision Chemistry
- Test it & Fix it: KCSE Revision English
- Test it & Fix it: KCSE Revision Geography
- Test it & Fix it: KCSE Revision Business Studies
- Test it & Fix it: KCSE Revision CRE
- Test it & Fix it: KCSE Revision Agriculture
- Test it & Fix it: KCSE Revision History
Reviews
0
Rated 0 out of 5
0 customer reviews
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0
Be the first to review “Test It & Fix It KCSE Revision Kiswahili – 4th Edition” Cancel reply
Related Products
Test It & Fix It KCSE Revision Chemistry – 3rd Edition
Rated 0 out of 5
(0)
Test It & Fix It KCSE Revision CRE – 3rd Edition
Rated 0 out of 5
(0)
Test It & Fix It KCSE Revision Physics – 3rd Edition
Rated 0 out of 5
(0)
PIONEER INTEGRATED SCIENCE REVISION
Rated 0 out of 5
(0)
Test It & Fix It KCSE Revision Mathematics – 3rd Edition
Rated 0 out of 5
(0)
Pioneer English Revision
Rated 0 out of 5
(0)
Test It & Fix It KCSE Revision Geography – 3rd Edition
Rated 0 out of 5
(0)
PIONEER AGRICULTURE REVISION 7-9
Rated 0 out of 5
(0)
SMART BEGINNERS’ ENCYCLOPAEDIA PLAYGROUP
Rated 0 out of 5
(0)
Test It & Fix It KCSE Revision Biology – 3rd Edition
Rated 0 out of 5
(0)
TOPNOTCH CHEMISTRY FORM 3-
Rated 0 out of 5
(0)
Test It & Fix It KCSE Revision Agriculture – 2nd Edition
Rated 0 out of 5
(0)
piojneer Cre Revision
Rated 0 out of 5
(0)
PIONEER PRE-TECHNICAL STUDIES REVISION
Rated 0 out of 5
(0)
Test It & Fix It KCSE Revision History – 3rd Edition
Rated 0 out of 5
(0)
Test It & Fix It KCSE Revision English – 4th Edition
Rated 0 out of 5
(0)
Test It & Fix It KCSE Revision Business Studies -3rd Edition
Rated 0 out of 5
(0)
TOP RANK ENCYCLOPAEDIA GRADE 3-
Rated 0 out of 5
(0)


There are no reviews yet.