Sale
Tesi-na-Mwalimu-Paka.png

Tesi na Mwalimu Paka

Hii ni hadithi kwa watoto wenye umri wa miaka 6-7 (Gredi 1&2). Ni kitabu kinachofundisha watoto kusema ukweli kila wakati licha ya hali hiyo.

Mwalimu Paka ana wanafunzi wenye bidii masomoni. Tesi ni mmoja wa wanafunzi hao. Anawatuza wanafunzi wake kwa bidii zao. Katika harakati ya kuwatuza, pesa zake zinapotea.Je,ni Tesi ama ni nani aliyezichukua pesa hizo.Je, pesa hizo zitapatikana?

Author:
David Nyaga

ISBN: 9789966621054

0 customer reviews

Original price was: KSh 444.00.Current price is: KSh 400.00.

Compare
Category:
Tesi na Mwalimu Paka
Original price was: KSh 444.00.Current price is: KSh 400.00.

Reviews

0
0 customer reviews
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0

There are no reviews yet.

Be the first to review “Tesi na Mwalimu Paka”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Select at least 2 products
to compare