Sale
kr_imresizer

Spotlight Kurunzi ya Kiswahili PP1

0 customer reviews

Original price was: KSh 730.00.Current price is: KSh 630.00.

Compare
Category:
Spotlight Kurunzi ya Kiswahili PP1
Original price was: KSh 730.00.Current price is: KSh 630.00.

Kurunzi Mazoezi ya Lugha Kitabu cha Mwanafunzi Kiwango cha 1 cha Chekechea kimeandaliwa kwa ustadi kwa kuzingatia Mtaala wa Kiumilisi wa Kiwango cha 1 cha Chekechea ulioboreshwa. Kitabu hiki kimelenga kumwezesha mwanafunzi kumudu stadi
za Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma na Kuandika kwa njia inayolingana na kiwango chake.

Yaliyomo

Kitabu hiki cha mwanafunzi kina mazoezi mbalimbali, kama vile:
*mazoezi ya darasani
*mazoezi ya mwanafunzi ya kufanya akiwa nyumbani
*mazoezi ya mwanafunzi kujifurahisha anapojifunza lugha
*mazoezi ya kuandika.

Kurunzi Mazoezi ya Lugha Kitabu cha Mwanafunzi Kiwango cha 1 cha Chekechea kina Mwongozo wa Mwalimu unaoandamana nacho ili kumwongoza mwalimu katika ufunzaji.

Reviews

0
0 customer reviews
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0

There are no reviews yet.

Be the first to review “Spotlight Kurunzi ya Kiswahili PP1”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Let's chat

Your Cart

1
KSh 405.00

Select at least 2 products
to compare

Your Cart

1