Sale
simulizi-za-utotoni-cover-01-1732106706

SIMULIZI NA HADITHI ZINGINE-

0 customer reviews

Original price was: KSh 550.00.Current price is: KSh 500.00.

Compare
Category:
SIMULIZI NA HADITHI ZINGINE-
Original price was: KSh 550.00.Current price is: KSh 500.00.

Simulizi na Hadithi Nyingine

Katika mkusanyo huu wa hadithi, utakumbana na matukio usioyatarajia. Katika hadithi ya Simulizi za Utotoni na Usipoziba Ufa… ujirani mwema unatuachia athari katika maisha yetu, wakati huo huo katika Mawimbi ya Mabadiliko changamoto ya kufanya kazi katika mazingira yenye siutafahamu inaangaziwa, ilhalia katika Mtazamo Mpana unahimizwa katikati ya migogoro, na bila shaka katika Shahidi wa Siri ufichuzi wa uhalifu unamwandama msaliti.

Hadithi hizi zinaakisi mada ya masuala mtambuko na maadili zinazompa msomaji na mwanafunzi hamu ya kujiburudisha, kasi ya kusoma, ari ya kujivinjari na uwezo wa kuwa na umilisi. Kupitia msururu huu wa hadithi, msamiati huongezeka, msamiati hupanuka na uzoefu wa mambo unaimarika.

Reviews

0
0 customer reviews
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0

There are no reviews yet.

Be the first to review “SIMULIZI NA HADITHI ZINGINE-”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Let's chat

Your Cart

1
KSh 69,999.00

Select at least 2 products
to compare

Your Cart

1