Sale
2010143000878-scaled

Sifuri Nyani Mtalii

0 customer reviews

Original price was: KSh 250.00.Current price is: KSh 220.00.

Compare
Category:
Estimated Delivery :

48 hours

Sifuri Nyani Mtalii
Original price was: KSh 250.00.Current price is: KSh 220.00.

Sifuri amechoshwa na mazingira katika bustani ya Zoo ambako wanyama mbalimbali wamehifadhiwa ili kuepushwa na makali ya
ukame unaojiri. Anaomba ruhusa ya kwenda mjini kutembea. Je, ziara yake itakuwa ya mafanikio? Soma hadithi kwa vioja anavyovifanya Sifuri mjini!
Bitugi Matundura ni mwalimu katika Chuo Kikuu cha Chuka. Uraibu wake ni kuwaandikia watoto. Ameandika vitabu vingi,
baadhi yake ikiwa Kangaruu wa Åžamawati ambacho pia kimechapishwa na Queenex Publishers Ltd. Alichukua nafasi ya pili
katika kinyang’anyiro cha Tuzola Fgsihi la Jomo Kenyatta mnamo mwaka 2009.

Reviews

0
0 customer reviews
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0

There are no reviews yet.

Be the first to review “Sifuri Nyani Mtalii”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Select at least 2 products
to compare