Sale
Safari-ya-Maskauti-5d.jpg

Safari ya Maskauti 5d by Enock Matundura

Kaendi na nduguye, Mkangi. wanazidivva na msisimko wa safari yao ya kwenda mjini Mombasa, kiasi cha kushindwa na kula chakula. Ziara hii ni ya maskauti wa Shule ya Msingi ya Bidii. Safari yao ya treni inajaa visa na vituko vya kufurahisha. Mkangi na rafikiye, Suleiman, vvanapewa jukumu la kuilinda kambi huku wenzao wakiwa wamelala. Mnyama anayeonekana kama simba anatokea na kumshitua Suleiman … ni yapi yatajiri baada ya haya?Safari ya Maskauti ni mojawapo ya hadithi katika Mradi wa Kusoma. Huu ni mradi wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.

ISBN: 9780195738278

0 customer reviews

Original price was: KSh 327.00.Current price is: KSh 295.00.

Compare
Category:
Safari ya Maskauti 5d by Enock Matundura
Original price was: KSh 327.00.Current price is: KSh 295.00.

Reviews

0
0 customer reviews
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0

There are no reviews yet.

Be the first to review “Safari ya Maskauti 5d by Enock Matundura”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Select at least 2 products
to compare