Sale
2010129000106

Safari Ya Lamu

0 customer reviews

Original price was: KSh 775.00.Current price is: KSh 665.00.

Compare
Category:
Safari Ya Lamu
Original price was: KSh 775.00.Current price is: KSh 665.00.

Safari inayoanza Nairobi inampa Musa nafasi ya kutafakari, kujionea fahari, kuiona bahari na zaidi, kujiathiri. Anapofika Lamu, Musa anapatana na Maimuna; msichana mrembo mwenye hulka na falsafa ambaye kwa usuhuba wake anamwonjesha Musa tamu na chungu. Anampitisha Musa barabarani na vichochoroni kisiwani Lamu. Hatimaye, Musa anafahamikiwa kuwa, “…Lamu ilicheka usiku. Lamu iliterema usiku. Lamu ilitembea usiku. Mchana ililala. Wanawake hawaoni mchana.

Kumbe wakati wote huu Musa amekuwa akistarehe na mke wa mtu. Tena mtu mwenyewe ni mganga! Najina lake…Mkuki! Na mkuki kazi yake ni kuchoma. Safari ya Lamu si tamu tena! Kwa nini Musa akasafiri hadi Lamu kustarehe na mke wa mtu ilhali nyumbani mkewe; Maria, anamngoja ili amwandalie starehe zote? Sasa amechomwa na Mkuki. Nani amfanyie dawa? Mamakeaumkewe?

Reviews

0
0 customer reviews
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0

There are no reviews yet.

Be the first to review “Safari Ya Lamu”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Let's chat

Your Cart

1
KSh 320.00

Select at least 2 products
to compare

Your Cart

1
Madam King by Elsa Geylan

Madam King by Elsa Geylan

Quantity
KSh 320.00