Ruka Panzi Ruka
KSh400.00
Hii ni hadithi kwa watoto wenye umri wa miaka 7-8 (Gredi 3). Ni kitabu kinachofundisha watoto daima kuwa na imani ya kibinafsi ili kuwa na nguvu ya mtazamo mzuri
Hii ni hadithi inayowahusu panzi wawili walio katika shida moja lakini mmoja anajiamini kuliko mwingine. Je, panzi wa rangi ya kijani kibichi anajitoa vipi katika shida hiyo?
Reviews
There are no reviews yet.