Sale
2010143000936-2

Rehema shujaa wa kijiji lvl 4 (Queenex)

0 customer reviews

Original price was: KSh 350.00.Current price is: KSh 290.00.

Compare
Category:
Rehema shujaa wa kijiji lvl 4 (Queenex)
Original price was: KSh 350.00.Current price is: KSh 290.00.

Ni msimu wa mvua na mto Zongo umefurika na kuvunja kingo zake.
Rehema, wazazi wake na wanakijiji cha Mwembeni wanazinduliwa na kelele asubuhi.
Kuna mtu amekwama mtoni. Wanaume wote wameshindwa kumtoa Wanawake nao hawana mbinu za kumwokoa.
Kijiji kinamhitaji shujaa, shujaa ambaye ataokoa maisha ya mtu. Je, shujaa huyo ni Rehema?
Hii ni hadithi itakayokuvutia kutokana na utunzi wake wa kupigiwa mfano
Yahya Mutuku ni mwandishi wa vitabu vingine vilivyochapishwa na Queenex mathalan Msururu wa Panya Mjanja,
Wema wa Sof, Sungura Hakimu miongoni mwa vitabu vingine vingi.

Reviews

0
0 customer reviews
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0

There are no reviews yet.

Be the first to review “Rehema shujaa wa kijiji lvl 4 (Queenex)”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Select at least 2 products
to compare