Sale
Queenex-Kiki-na-Mina-Darasani-na-Hadithi-Nyingine-1A.jpg

Kiki na Mina Darasani na Hadithi Nyingine 1A (Queenex)

Queenex hadithi za ziada ni msururu wa hadithi zinazofuata mfumo mpya wa elimu. Mfumo huu wa elimu unadhamiria kuhakikisha kuwa matokeo ya mafunzo ni ujenzi wa umilisi utakaomwezesha mwanafunzi kutumia ujuzi wake kujiendeleza shuleni, nyumbani na katika jamii.
Kitabu hiki ni cha wanafunzi wa Gredi ya Kwanza na kimejumuisha hadithi za kusisimua, picha za kuvutia na msamiati. Hadithi hizi zitamwezesha mwanafunzi kukuza maadili, umilisi wa lugha na pia kuelewa masuala mtambuko. Mada kuu zilizozingatiwa katika kitabu hiki ni:
– Karibu darasani
– Mimi na wenzangu
– Tarakimu

ISBN: 9789966141118

0 customer reviews

Original price was: KSh 322.00.Current price is: KSh 290.00.

Compare
Category:
Kiki na Mina Darasani na Hadithi Nyingine 1A (Queenex)
Original price was: KSh 322.00.Current price is: KSh 290.00.

Reviews

0
0 customer reviews
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kiki na Mina Darasani na Hadithi Nyingine 1A (Queenex)”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Select at least 2 products
to compare