Punda Kisimani
KSh380.00
Punda wa mkulima anateleza na kuanguka kisimani. Mkulima anajaribu kumwokoa bila mafanikio. Majirani wanamhimiza mkulima amwache punda aangamie kisimani.Punda anatambua njama hiyo na kutibua njama zao. soma hadithi upate ukweli.
ISBN:9789966621184
Reviews
There are no reviews yet.