Sale
pigo-la-nafsi2_0

Pigo La Nafsi

0 customer reviews

Original price was: KSh 600.00.Current price is: KSh 555.00.

Compare
Category:
Pigo La Nafsi
Original price was: KSh 600.00.Current price is: KSh 555.00.

“Halima mwanangu, wakati mwingine nashindwa kuelewa dunia inaelekea wapi. Visa kama hivyo ni vingi tu katika maisha yetu siku hizi. Ajabu ni kuwa, licha ya madhalimu hao kufikishwa mbele ya sheria, wao hufanya hila wakajipa uhuru.” Matumaini ya familia ya Halima yanafufuka pale anapopata ajira kama mjakazi. Kwake Halima, anaiona fursa hii kuwa muhimu zaidi katika kutimiza maazimio yake na ndoto zake maishani. Maisha yanamwia mazuri Dar es Salaam hadi siku moja ambapo mambo yanaharibika na kumtia wasiwasi kuhusu mipango yake na mchumba wake. Je, ni mambo gani yaliharibika, na nani kayaharibu?

‘Pigo la Nafsi’ ni hadithi inayosimuliwa kwa upekee wa namna yake. Hadithi hii imejaa mafunzo yanayoakisi uhalisia wa maisha, katika dunia ya sasa.

Reviews

0
0 customer reviews
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0

There are no reviews yet.

Be the first to review “Pigo La Nafsi”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Let's chat

Your Cart

1
KSh 320.00

Select at least 2 products
to compare

Your Cart

1
Madam King by Elsa Geylan

Madam King by Elsa Geylan

Quantity
KSh 320.00