Phoenix Summit Hygiene and Nutrition Grade 1
KSh544.44 Original price was: KSh544.44.KSh490.00Current price is: KSh490.00.
Related products
-
Rated 0 out of 5
OUP Soma Nasi Kusoma na Kuandika Gredi 1 (Approved)
KSh522.22Original price was: KSh522.22.KSh470.00Current price is: KSh470.00.Add to cartSoma Nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza,
kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza pamoja na kuwa vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na pia kufahamisha kuhusu masualaibuka.
ISBN: 9780195746945
-
Rated 0 out of 5
Primary Mathematics Activities Grade 1
KSh470.00Original price was: KSh470.00.KSh425.00Current price is: KSh425.00.Add to cartThis is the first book in the new series of Primary Mathematics written specifically for the competence-based curriculum. The coursebook is intended for use by Grade 1 learners. It prepares the learner for day to day living and number work in higher levels of schooling.
The unique strength of the book lies in the following areas:
• Adequate coverage of the new curriculum concepts and skills with a strong activity orientation.
• A variety of examples enclosed in coloured frames to promote self-study and ease of use.
• A variety of exercises that test the understanding of every concept and skill learnt.The book comes with a separate comprehensive teacher’s guide and a set of wall charts.
This book has been designed with special reference to learners with different learning abilities.ISBN: 9789966511102
-
Rated 0 out of 5
Spotlight Hygiene & Nutrition Activities Learner’s Book Grade 1
KSh588.88Original price was: KSh588.88.KSh530.00Current price is: KSh530.00. -
Rated 0 out of 5
Mentor Kielekezi cha Shughuli GD1
KSh511.00Original price was: KSh511.00.KSh460.00Current price is: KSh460.00.Add to cartKIELEKEZI cha Shughuli za Kiswahili Gredi 1 kimewasilisha kikamilifu mahitaji ya mtaala mpyaunaozingatia umilisi.
Kitabu hiki kimetumia mtindo unaomwegemea mwanafunzi zaidi.
Kimetumia lugha nyepesi iliyokomaa na inayoweza kueleweka na mwanafunzi kwa urahisi.
Kimeangazia stadi zote za kujifunza lugha:
(i) Kusikiliza na Kuzungumza
(ii) Kusoma
(iii) Kuandika
(iv) Msamiati
(v) Sarufi
ISBN: 9789966059666
-
Rated 0 out of 5
Kiswahili Dadisi Grade 1 by Oxford University Press (OUP)
KSh577.77Original price was: KSh577.77.KSh520.00Current price is: KSh520.00.Add to cartKiswahili Dodisi. Mazoezi ya Lugha ni msururu wa vitabu vipyo vilivyoandikwa kwo upekee iti kutosheleza mahitaji ya mtaloo mpyo wa Umilisi. Vitabu Finn vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahomu we Lugha kupitio stadi za kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha, vino mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuzo umitisi uliopendekezwa. maadili no kufahamisha kuhusu masualaibuka.
Katika Kiswahili Dadisi. Mazoezi ya Lugha. Kitabu cha Mwanafunzi. Gredi utapata:
- made zilizopangwo kwa kuzingatio muainisho wa mtalaa mpya
- mifano halisi ya miktodho ambapo Lugha hutumika
- mazoezi nje ya darasa iii kuendeteza ujifunzaji na kuwashirikisha wanafunzi katika shughuli zo kijamii zinazokuza ujifunzaji
- mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja
- jinsi ya kuwashirikisha wazazi no walezi iii kuimarisha uwajibikaji.
ISBN: 9780195746822
Reviews
There are no reviews yet.