Sale
Paka-na-Panya.jpg

Paka na Panya by Nyakeri

Chaka ni paka anayeishi kichakani. Mvua inanyesha sana na hawezi kupata chakula. Njaa inamuuma sana . Mvua inapopungua anaondoka kwenda kutafuta chakula.  Kwa bahati nzuri anamwona panya karibu na shimo lake. Panya anamsaidia paka. Anampa chakula na mahali pa kulala karibu na moto. Paka analala akiwa ameshiba.Je, Chaka atalipa wema kwa wema ?

ISBN: 9789966341822

0 customer reviews

Original price was: KSh 225.00.Current price is: KSh 203.00.

Compare
Category:
Paka na Panya by Nyakeri
Original price was: KSh 225.00.Current price is: KSh 203.00.

Reviews

0
0 customer reviews
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0

There are no reviews yet.

Be the first to review “Paka na Panya by Nyakeri”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Select at least 2 products
to compare