Sale
8D-Njiapanda_0

Njia Panda

0 customer reviews

Original price was: KSh 460.00.Current price is: KSh 360.00.

Compare
Category:
Njia Panda
Original price was: KSh 460.00.Current price is: KSh 360.00.

Njiapanda’ ni kitabu kinachotenga wanafunzi wa Darasa la Nane katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:

  • Masimulizi rahisi kwa njia ya hadithi, tamthitia ndani ya hadithi, mbinu rejeshi na uzungumzi nafsia.
  • Kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi, dayolojia, misemo, methali, taharuki, tashibihi, tashihisi, taknn, kejeli, chuku, tanakali za sauti, maswati ya batagha. taswira na picha za rangi zenye kusisimua.
  • Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya ujana na matatizo yoke, maisha ya nyumbant, shuleni na hospitatini, matezi, afya, umuhimu wa teknotojia, habari na mawasiliano, uwajtbikaji, kazi, utu, uvumilivu, haki za binadamu na haki za watoto, kuishi kwa utangamano na amani.

Mradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada ambao unaambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.

Reviews

0
0 customer reviews
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0

There are no reviews yet.

Be the first to review “Njia Panda”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Let's chat

Your Cart

3
KSh 1,600.00

Select at least 2 products
to compare

Your Cart

3
Live and on the Air 7b by Oxford

Live and on the Air 7b by Oxford

You Saved 10%
Quantity
KSh 366.00 KSh 330.00
Mastering Biology Practicals

Mastering Biology Practicals

You Saved 12%
Quantity
KSh 820.00 KSh 720.00
Smart Beginners Agriculture Grade 4 (Storymoja)

Smart Beginners Agriculture Grade 4 (Storymoja)

You Saved 10%
Quantity
KSh 610.00 KSh 550.00
Payment Details
Sub Total KSh 1,600.00
Free shipping Free!
Shipping to Nairobi County.
Total KSh 1,600.00