Sale
7A-Nimlaumu-Nani_0

Nimlaumu Nani

0 customer reviews

Original price was: KSh 400.00.Current price is: KSh 330.00.

Compare
Category:
Nimlaumu Nani
Original price was: KSh 400.00.Current price is: KSh 330.00.

Nimlaumu nani?’ ni kitabu kinachonuiwa kuendeleza msingi wa kusoma na kukuza uwezo katika kusoma kwa wanafunzi wa Darasa la Saba katika shule za msingi. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:

  • Masimulizi rahisi ya hadithi kwa njia ya tamthilia.
  • Kuondosha hali ya uchofu wa kusoma na kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia dayolojia, misemo, methali, taharuki, majadiliano, uhalisia, maswali anuwai, mbinu rejeshi na sentensi fupifupi.
  • Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya watoto wa mitaani au barabarani, kituo cha kuwalea na kuwarekebisha chokora, haki za watoto, umuhimu wa mtoto msichana katika jamii, kujitambua, kusaidiana, kushirikiana, kushauriana na maadili mema.—

Reviews

0
0 customer reviews
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0

There are no reviews yet.

Be the first to review “Nimlaumu Nani”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Let's chat

Your Cart

Select at least 2 products
to compare

Your Cart

Your Cart is Empty

Start Shopping
Continue Shopping