New Progressive Primary English Activities Grade 2
KSh593.00 Original price was: KSh593.00.KSh534.00Current price is: KSh534.00.
Related products
-
Rated 0 out of 5
KLB Visionary Mazoezi ya Kiswahili Grade 2 by KLB
KSh416.66Original price was: KSh416.66.KSh375.00Current price is: KSh375.00.Add to cartKLB Mazoezi ya Kiswahill Gredi ya 2 (Kitabu cha Mwanalunzi) ni kitabu mojawapo kati ya vitabu vinavyochapishwa na Kenya Literature Bureau vya msururu wa KLB Visionary. Msururu huu wa vitabu umezingatia Mtalaa wa kiumilisi wa mwaka wa 2017 wa masomo ya shule za Msingi.
Kitabu hiki kimekusudiwa kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wa kutumia stadi zote nne za lugha ya Kiswahili: Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika. Kupitia stadi hizi, mwanafunzi anakuza uwezo wake wa lugha.
Toleo hili limejumuisha mambo muhimu ambayo yanachangia ujifunzaji wa sasa ambayo ni masuala mtambuko, maswali dadisi, masuala ya linsia. utendaji wa mwanafunzi, picha murua za kuchangamsha na kuibua hamu ya kudadisi kwa mwanafunzi na mbinu tofauti za kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wake wa kujifunza. Mazingira halisi ya mwanafunzi yamezingatiwa katika kukuza kazi hii. Hili linamwezesha mwanafunzi kujifunza katika hali halisi. Lugha sahili imetumika ili kurahisisha kuelewa kwa mada zote katika kitabu.
ISBN: 9789966652140
-
Rated 0 out of 5
Mentor Hygiene and Nutrition Activities Learner’s book Grade 2
KSh538.88Original price was: KSh538.88.KSh485.00Current price is: KSh485.00. -
Rated 0 out of 5
Nyota ya Kiswahili Grade 2
KSh505.55Original price was: KSh505.55.KSh455.00Current price is: KSh455.00.Add to cartKitabu hiki kimedhamiriwa kutumika kama mfululizo wo vitabu vya kiada kwa Gredi yo Pili. Kimeandikwo kuombotana no mtoloo mpyo. Kitobu hiki kimelenga kumwongoza mwonafunzi katika masomo yoke yo lugha ya Kiswahili kwa kutimiza moarubu yo mtolao wa kiwango husika. Ndani yoke mno mbinu bora za ujifunzaji ambazo zitawaelekeza wanafunzi kuhusu njia bora za kutimiza malengo yoo. Kimezingatia stadi zote zo kujifunza lugha, rani:
(i) Kusikiliza
(ii) Kuzungumza
(iii) Kusoma
(iv) Kuondika
(v) Msamiati(vi) Sarufi
Mwanafunzi amepewa nafasi ya kujifunza mwenyewe kutokana na picha maridhawa, hadithi, mashairi na michezo murua. Ili kuzidisha hamasisho la ujifunzaji, mwongozo maalumu umeandaliwa iii kuwapa walimu mbinu thabiti za kuuchochea ujifunzaji miongoni mwa wanafunzi. Ili kutathmini kiwango cha ujifunzaji miongoni mwa wanafunzi kitabu hiki kimetoamazoezi ya kutosha yatakoyowowezesho kupato:
• Umilisi wa kimsingi
• Maadili ya kimsingi
• Uwezo wa kuyashughulikia masuala mtambukaZaidi ya hayo uchochezi huo huwafahamisha namna ya kulinganisha uhusiano wa modo watiyojifunza;
- na masomo mengine
- na shughuli za huduma za kijamii zinazochangia ujifunzaji
- na shughuli nyingine zilizoratibiwa za ujifunzaji
Kitabu hiki kimeandikwa na waandishi wenye tojiriba pevu. Womekomaa kwenye stadi ya uondishi wa vitabu vya kiado.
ISBN: 9789966511089
-
Rated 0 out of 5
KLB Visionary Hygiene & Nutrition GD2
KSh467.00Original price was: KSh467.00.KSh420.00Current price is: KSh420.00.Add to cartHygiene and Nutrition Activities is a course intended to equip learners with basic knowledge, skills. and attitudes that promote a happy and healthy lifestyle. The learner is empowered to take care of his or her own wellbeing as well as that of others. The learner is sensitized to adopt healthy practices in order to prevent the occurrence of infections associated with poor hygiene and sanitation practices.
This Learner’s Workbook for Grade 2 comprehensively covers the 2017 competency-based curriculum. The learning activities are presented in a simple concise language and in an attractive layout designed to make the workbook learner friendly.
This workbook incorporates Pertinent and Contemporary Issues (PCIs) as required in the curriculum designs. Some PCIs addressed include education in the following areas: life skills and values, health, and environment.ISBN: 9789966652201
-
Rated 0 out of 5
Mentor CRE Activities Grade 2 Learner’s Book
KSh533.00Original price was: KSh533.00.KSh480.00Current price is: KSh480.00.Add to cartMentor CRE Activities Grade 2 workbook is fully in line with the new competency based curriculum. The book is easy to use and contains a variety of learning activities. It makes learning fun for the Lower primary learner.
This book has been authored by teachers with wide experience in Early Years Education in leading schools across Kenya.
ISBN: 9789966059710
Reviews
There are no reviews yet.