New Progressive Primary English Activities Grade 2
KSh593.00 Original price was: KSh593.00.KSh534.00Current price is: KSh534.00.
Related products
-
Rated 0 out of 5
Kiswahili Dadisi Mazoezi ya Lugha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi 2
KSh594.44Original price was: KSh594.44.KSh535.00Current price is: KSh535.00.Add to cartKiswahili Dadisi. Mazoezi ya Lugha ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunzo. Pia vinakura umili uliopendekezwa, maadili kufahamisha kuhusu masualaibuka.
Katika Kiswahili Dadisi. Mazoezi ya Lugha, kitabu cha Mwanafunzi. Gredi 2. utapata :
-mada zilizopangwa Kwa kuzingatia muainisho wa mtalaa mpya
-mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika
-mazoezi nje ya darasa ili kuendeleza ujifunzaji na kuwashirikisha wanafunzi katika shughuli za kijamii zinazokuza ujifunzaji mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja
-Jinsi ya kuwashirikisho wazazi na walezi ili kuimarisha uwajibikajiKiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, kitabu cha Mwanafunzi kina Mwongozo wa Mwalimu ambao pia una mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwalimu atahitaji
ISBN: 9780195746839
-
Rated 0 out of 5
Mentor Art and Craft Activities Grade 2
KSh511.11Original price was: KSh511.11.KSh460.00Current price is: KSh460.00.Add to cartMENTOR Art and Craft Activities Grade 2 workbook is fully in line with the Competency Based Curriculum (CBC). The book is easy to use and contains a variety of learning activities. It makes learning fun for a Lower Primary Learner. This book has been authored by teachers with a wide experience in Early Years Education in leading schools across Kenya.
ISBN: 9789966012036
-
Rated 0 out of 5
Mentor Movement Activities Grade 2
KSh488.88Original price was: KSh488.88.KSh440.00Current price is: KSh440.00.Add to cartMENTOR Movement Activities Grade 2 workbook is fully in line with the Competency Based Curriculum (CBC).The book is easy to use and contains a variety of learning activities. It makes learning fun for a Lower Primary Learner. This book has been authored by teachers with a wide experience in Early Years Education in leading schools across Kenya.
ISBN: 9789966012005
-
Rated 0 out of 5
KLB Visionary English Literacy Grade 2
KSh388.88Original price was: KSh388.88.KSh350.00Current price is: KSh350.00. -
Rated 0 out of 5
KLB Visionary Mazoezi ya Kiswahili Grade 2 by KLB
KSh416.66Original price was: KSh416.66.KSh375.00Current price is: KSh375.00.Add to cartKLB Mazoezi ya Kiswahill Gredi ya 2 (Kitabu cha Mwanalunzi) ni kitabu mojawapo kati ya vitabu vinavyochapishwa na Kenya Literature Bureau vya msururu wa KLB Visionary. Msururu huu wa vitabu umezingatia Mtalaa wa kiumilisi wa mwaka wa 2017 wa masomo ya shule za Msingi.
Kitabu hiki kimekusudiwa kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wa kutumia stadi zote nne za lugha ya Kiswahili: Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika. Kupitia stadi hizi, mwanafunzi anakuza uwezo wake wa lugha.
Toleo hili limejumuisha mambo muhimu ambayo yanachangia ujifunzaji wa sasa ambayo ni masuala mtambuko, maswali dadisi, masuala ya linsia. utendaji wa mwanafunzi, picha murua za kuchangamsha na kuibua hamu ya kudadisi kwa mwanafunzi na mbinu tofauti za kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wake wa kujifunza. Mazingira halisi ya mwanafunzi yamezingatiwa katika kukuza kazi hii. Hili linamwezesha mwanafunzi kujifunza katika hali halisi. Lugha sahili imetumika ili kurahisisha kuelewa kwa mada zote katika kitabu.
ISBN: 9789966652140
Reviews
There are no reviews yet.