Mwongozo ya Mapambazuko ya Machweo (Globalink) by Globalink
KSh544.00 Original price was: KSh544.00.KSh490.00Current price is: KSh490.00.
ISBN: 9789966766885
Related products
-
Rated 0 out of 5
Nguu za jadi by CLARA MOMANYI
KSh766.00Original price was: KSh766.00.KSh690.00Current price is: KSh690.00. -
Rated 0 out of 5
Mshale wa Matumaini Grade 7 (Access) by John Habwe
KSh444.00Original price was: KSh444.00.KSh400.00Current price is: KSh400.00.Add to cartZingo na mama yake wanakimbilia ughaibuni kufuatia mzozo wa kikabila katika nchi yao. Huko ughaibuni wanakabiliwa na matatizo mengi. Zingo anafanya bidii kuyakabili licha ya umri wake mdogo. Hata hivyo, kinachomstaajabisha na kumhuzunisha ni kuhusishwa na baba yake ambaye anatuhumiwa kuwa mhalifu wa kivita. Zingo anabaguliwa na wenzake lakini anapiga moyo konde na kuendelea na masomo yake ambayo sasa yanampa matumaini ya kuyageuza maisha yake ya karaha kuwa ya furaha. Hii ni hadithi ya huzuni inayofunua makovu ya mizozo ya kijamii hasa mizozo hiyo inavyoathiri vijana wadogo.
ISBN: 9789914729931
-
Rated 0 out of 5
Mwongozo wa Bembea ya Maisha (Climax)
KSh555.00Original price was: KSh555.00.KSh500.00Current price is: KSh500.00.Add to cartMwongozo huu wa tamthilia ya Bembea unajumulisha vijitabu vitatu.
1.Mwongozo wenyewe wa Tamthilia ya Bembea.
2. Ushauri kwa mwanafunzi kuhusu jinsi ya kujibu ya kiswahili ya KCSE.
3. Mifano ya Maswali na majibu mwafaka
ISBN: 9782199766806
-
Rated 0 out of 5
Shani katika njia panda by Story Moja
KSh500.00Original price was: KSh500.00.KSh450.00Current price is: KSh450.00.Add to cartShani anakumbwa na furaha ya kupindukia rafiki yake, Jaki, anapomchagua kuandamana naye hadi Afrika Kusini.
Mjomba wa Jaki anajitolea kugharamia ziara hiyo. Hata hivyo, mamake Shani anashuku nia ya Mjomba kumpeleka mwanawe
Afrika Kusini. Mama anajaribu kumshawishi Shani kupuuza pendekezo hilo kwa kumwekea vikwazo. Shani aliye na hamu kuu
kwenda ughaibuni anakwea vikwazo vyote hadi mzazi wake anamkubalia kwenda Afrika Kusini. Mbona Mama Shani anashuku
ukarimu wa Mjomba? Soma hadithi ufumbue fumbo.ISBN: 9789966066800
-
Rated 0 out of 5
Bembea ya Maisha – Set Book by Timothy M Arege
KSh516.00Original price was: KSh516.00.KSh465.00Current price is: KSh465.00.Add to cartBembea ya Maisha ni hadithi kuhusu Yona na mkewe Sara pamoja na Bunju na mkewe Neema. Wahusika hawa wanajikuta katika vuta n’kuvute inayochochewa na mitazamo ya kitamaduni, uhalisia wa mambo pamoja na matamanio ya wahusika binafsi. Baina yao kuna mitikiso inayotishia familia, ndoa na mahusiano ya kijamii. Kuna shutma, shaka, tuhuma na mivutano. Lakini pia kuna hongera, imani, ushirikiano, upendo, kutanabahi na mshikamano. Katika huu mseto wa mambo ipo sauti imara ya Sara inayosikika ikihimiza na kuzindua. Sauti inayoiona kila hali mfano wa bembea.
ISBN: 9789966194534
Reviews
There are no reviews yet.