Sale
Scan_20240810_15

Mwongozo Kamilifu wa Mji wa Matarajio GD7

0 customer reviews

Original price was: KSh 450.00.Current price is: KSh 350.00.

Compare
Category:
Mwongozo Kamilifu wa Mji wa Matarajio GD7
Original price was: KSh 450.00.Current price is: KSh 350.00.

Mwongozo huu kamilifu umetoa uchambuzi wa kina wa Novela ya Mji wa Matarajio na Asumpta K. Matei,ambao ni muhimili adimu kwa wanafunzi wa gredi ya saba.Umechambua vipengele maalum vya uandishi na kuvigawanya katika sehemu dhahiri ili kuzingatia swala moja moja.Ndiposa pana mtiririko wa matukio ili kumwezesha msomaji kuelewa yaliyomo.Pia kila sura, pana sehemu ya mtiririko ya matukio iliyofafanuliwa kwa tugha sahili inayoeleweka vyema. Halikadhalika ;kuna uchambuzi wa maudhui,wahusika na mbinu za lugha zilizotumika.Upekee wa mwongozo huu ni kwamba,vipengele vyote vimeshughulikiwa kwa kuzingatia mahitaji ya mtaala wa CBC.Nguzo hizi muhimu za umilisi ni kama vile:Ubunifu,mawasiliano,teknolojia na ujifunzaji wa kibinafsi zimejumuishwa.Bila shaka mwongozo huu ni wa kipekee na utamfaa mwanafunzi wa gredi ya saba.

Reviews

0
0 customer reviews
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0

There are no reviews yet.

Be the first to review “Mwongozo Kamilifu wa Mji wa Matarajio GD7”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Let's chat

Select at least 2 products
to compare