Sale
2D-Mgeni-njoo_0

Mgeni Njoo!

0 customer reviews

Original price was: KSh 350.00.Current price is: KSh 250.00.

Compare
Category:
Mgeni Njoo!
Original price was: KSh 350.00.Current price is: KSh 250.00.

Mgeni njoo!’ ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa la Kwanza katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:

  • Masimulizi rahisi kwa njia ya hadithi.
  • Kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi, dayolojia, misemo, methali, tanakali za sauti, kichekesho na picha za rangi zenye kusisimua.
  • Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya maisha ya nyumbani, malezi, utoto, afya, stadi za maisha, uwajibikaji, kazi, utu, uvumilivu, uadilifu, haki za watoto na kuishi kwa utangamano.

Mradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada ambao unaambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.

Reviews

0
0 customer reviews
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0

There are no reviews yet.

Be the first to review “Mgeni Njoo!”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Let's chat

Select at least 2 products
to compare