Sale
7c-mashairi-Bul

Mashairi Bulbul

0 customer reviews

Original price was: KSh 400.00.Current price is: KSh 330.00.

Compare
Category:
Mashairi Bulbul
Original price was: KSh 400.00.Current price is: KSh 330.00.

‘Mashairi Bulbul’ ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa la Saba katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:

  • Mashairi yaliyobeba maudhui anuwai,
  • Ubunifu wa mtunzi kutupambia mashairi kwa methali, mafumbo, masimulizi, tashihisi, takriri, tashbihi na taswira ili kutufunza na kupitisha ujumbe wake,
  • Mitindo, bahari na aina mbalimbali za mashairi kama vile tathnia, tathlitha, tarbia, takhmisa, ukumi, ngonjera. utenzi, wimbo, ukaraguni, ukawafi, kikwamba na sakarani,
  • Uangaziaji wa masuala ibuka kama vile dawa za kulevya, teknolojia, uadilifu, ushauri na nasaha, utatuzi wa matatizo, ubingwa wa lugha, vichekesho na burudani,
  • Mradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.

Reviews

0
0 customer reviews
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0

There are no reviews yet.

Be the first to review “Mashairi Bulbul”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Select at least 2 products
to compare