Longhorn Mwanga wa Kiswahili Grade 4 (Approved) by Kangai
KSh633.34 Original price was: KSh633.34.KSh570.00Current price is: KSh570.00.
Longhorn Mwanga wa Kiswahili Gredi ya 4 (Kitabu cha Mwanafunzi) ni kitabu kilichoandikwa kwa ustadi na umahiri mkubwa. Kimeandikwa kwa lugha nyepesi ya kiwango cha mwanafunzi wa gredi ya nne. Kitabu hiki kinatosheleza kikamilifu mahitaji ya mtaala mpya wa umilisi pamoja na malengo ya elimu ya taifa la Kenya. Kimeshughulikia wanafunzi wote wakiwemo walio na mahitaji maalum pamoja na wanaoishi kwenye mazingira mbalimbali.
ISBN: Longhorn Mwanga wa Kiswahili GD4 (Appr)
Related products
-
Rated 0 out of 5
OUP Kiswahili Dadisi Grade 4 (Approved
KSh516.00Original price was: KSh516.00.KSh465.00Current price is: KSh465.00.Add to cartKiswahili Dadisi ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika, na vilevile sarufi. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza.
Pia vinakuzo umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka.ISBN: 9780195747867
-
Rated 0 out of 5
KLB Visionary English Learner’s Grade 4 by KLB
KSh511.00Original price was: KSh511.00.KSh460.00Current price is: KSh460.00.Add to cartVisionary KLB English Grade Four Learner’s Book is based on the new Competency Based Curriculum. It has numerous activities that are learner centred and allow the learners to discover and create knowledge through doing rather than memorizing facts. The language skills covered in the book are acquired through the involving activities that allow for maximum collaboration among the learners.
ISBN: 9789966655684
-
Rated 0 out of 5
KLB Visionary Mathematics Grade 4 (Approved) by Mwangi
KSh544.45Original price was: KSh544.45.KSh490.00Current price is: KSh490.00.Add to cartKLB Visionary Mathematics for Grade 4 Learner’s Book is designed to help the learners acquire computational skills at this level. The book contains numerous activities that enable the learner to develop numeracy skills without undue difficulty.
* This book is developed in line with the requirements of the Competency-Based Curriculum and subject design.
* The content is presented in a concise language appropriate to the level of the learner.
* The style is simple, making the book highly readable and the concepts easy to understand.
* The book contains full-colour illustrations designed to hold the attention and interest of the learners.
* The learner’s book has employed a learner-centred approach where all experiences are centred on the learner’s interests, knowledge and application to real-life situations.
* Every lesson draws from day-to-day occurrences which form the basis for lesson introduction.
* The book has numerous practical activities and examples that enable the learner to learn on their own with minimum input from the teacher.
ISBN: 9789966655660
-
Rated 0 out of 5
KLB Visionary Art and Craft Grade 4 (Approved) by Atieno
KSh466.00Original price was: KSh466.00.KSh420.00Current price is: KSh420.00.Add to cartKLB Visionary Art and Craft Grade Four Learner’s Book is designed to help the learner
acquire and apply specific concepts, techniques and related vocabulary to increase
capacity for effective pursuit of artistic goals. The span of strands at this level entail:
Picture Making, Mixed Media and Technology, Indigenous Kenyan Crafts, Presentation and Exhibition.
• The book is developed in line with the requirements of the Competency Based
Curriculum design for Art and Craft for Grade Four.
• The learning experiences are aligned with the thematic integrated approach thus
concepts are presented in the most appropriate way for learners at this level.
• This book is extensively illustrated to make the content interesting to the learners.
• It has employed a learner-centred approach where all experiences are centred on the
learner’s interests, knowledge and application to real life situations.
• Lessons draw from learner’s day-to-day activities at school and home.
• The book has numerous practical activities, and reflection questions to enable the
learner to carry them out on their own either in school or at home.
• The title has adequately mainstreamed key pertinent and contemporary issues and is
designed to equip the learner with 21st Century competences.
This Learner’s Book is approved by the Kenya Institute of Curriculum Development (KICD) and procured by the
Government of Kenya for use by Grade Four learners in all public primary schools.
Other approved titles in this series are:
• KLB Visionary Grade Four Science and Technology Learner’s Book and Teacher’s Guide.
• KLB Visionary Grade Four Mathematics Learner’s Book and Teacher’s Guide.
• KLB Visionary Grade Four Islamic Religious Education Learner’s Book and Teacher’s Guide.
• KLB Visionary Grade Four Music Learner’s Book and Teacher’s Guide.
• KLB Visionary Grade Four Physical and Health Education Learner’s Book and Teacher’s Guide.
• KLB Visionary Art and Craft Grade Four Teacher’s Guide.ISBN: 9789966655783
-
Rated 0 out of 5
OUP Kiswahili Dadisi GD4 Wkbk by Oxford
KSh566.00Original price was: KSh566.00.KSh510.00Current price is: KSh510.00.Add to cartKiswahili Dadisi Workbook ni mfululizo wa kipekee wa vitabu vya mazoezi katika Mtalaa mpya wa Umilisi.
Kila kitabu katika mfululizo huu kimefanyiwa utafiti wa kina na kuandikwa kwa ustadi ili kuwasaidia wanafunzi kupata
umilisi wa kimsingi, ujuzi, maadili na kuwa na mitazamo bora maishani. Vitabu hivi vinatoa utaratibu mwafaka wa kufanya
mazoezi ya lugha kwa njia nyepesi na ya kueleweka. Kitabu hiki:
• kimeandikwa kwa kufuata utaratibu uliopendekezwa kwenye mtalaa
• kina mazoezi mengi ya kuchangamsha na kuelimisha, na ambayo yatamwezesha mwanafunzi kujenga na kupanua umilisi katika kila mada.
• kina tathmini ya binafsi ambayo itamsaidia mwanafunzi kukadiria umilisi wake katika
mada ndogo zote.
Majibu ya mazoezi katika vitabu vyote vya Gredi ya Nne yanapatikana katika kitabu kimoja.ISBN: 9780195748758
Reviews
There are no reviews yet.