Sale
15729359

Kufa Kuzikana

0 customer reviews

Original price was: KSh 790.00.Current price is: KSh 690.00.

Compare
Category:
Kufa Kuzikana
Original price was: KSh 790.00.Current price is: KSh 690.00.

Basi liliteremka kwenye barabara iliyojisokota katika miinamo ya vilima. Nilichungulia dirishani na kuona jinsi jua lilivyovidhihirisha dhahiri shahiri vilima hivyo.”Vilima gani hivi?” nilimwuliza abiria aliyeketi ubavuni pangu, mwanamume mfupi mnene. Kichwa chake kilikuwa kimeegemea bega langu. Hakujibu. Kumbe alikuwa anamenyana na usingizi. Nikamtikisa.

Reviews

0
0 customer reviews
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kufa Kuzikana”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Let's chat

Your Cart

Select at least 2 products
to compare

Your Cart

Your Cart is Empty

Start Shopping
Continue Shopping