KLB Top Scholar Kiswahili Grade 8 (Approved) by KLB
KSh644.00 Original price was: KSh644.00.KSh580.00Current price is: KSh580.00.
ISBN: 9789966658944
Related products
-
Rated 0 out of 5
OUP Kiswahili Fasaha Grade 8 (Approved) by Oxford
KSh1,005.56Original price was: KSh1,005.56.KSh905.00Current price is: KSh905.00.Add to cartKiswahili Fasaha ni msururu ulioandikwa kwa njia ya kipekee na unaokidhi mahitaji yote ya Mtaala wa Kiumilisi. Vitabu katika msururu huu vina shughuli anuwai ambazo zinalenga kumsaidia mwanafunzi kupata umilisi, maadili na masuala mtambuko
yanayokusudiwa katika mtaala.Kiswahili Fasaha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8 kina:
-Shughuli mbalimbali zitakazomwezesha mwanafunzi kupata stadi zote nne za lugha – Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na
Kuandika – pamoja na matumizi ya sarufi kimuktadha-Sehemu za Zinduo ambazo zinatoa maelezo ya kina kuhusu dhana husika
-Sehemu za Elimujamii ambazo zinampa mwanafunzi nafasi ya kuendeleza ujifunzaji wake nje ya darasa
-Sehemu za Dijitika ambazo kwazo mwanafunzi ana nafasi ya kutangamana na vifaa vya kidijitali katika kufanya mazoezi
-Michoro ya rangi inayochangia uelewa wa dhana zinazofunzwa
-Tathmini binafsi baada ya kila mada kuu ili kumsaidia mwanafunzi kupima uelewa wake wa dhana husika
-Sehemu ya Tafakari mwishoni mwa kila suala kuu, ambayo inalenga kumpa mwanafunzi ari ya kutumia aliyojifunza ili kuboresha hali yake na ya jamii nzima.
ISBN: 9789914441482
-
Rated 0 out of 5
Longhorn Mwanga Wa Kiswahili Grade 8 (Approved) by Longhorn
KSh833.00Original price was: KSh833.00.KSh750.00Current price is: KSh750.00.Add to cartKitabu hiki kimeandikwa kwa ustadi, umahiri mkubwa na kwa lugha ya kiwango cha mwanafunzi wa Gredi ya Nane. Kitabu hiki kinatosheleza kikamilifu mahitaji ya mtaala wa kiumilisi pamoja na malengo ya elimu ya taifa la kenya.Kimeshughulikia wanafunzi wote wakiwemo walio na mahitaji maalumu pamoja na wanaoishi kwenye mazingira mbalimbali.
ISBN: 9789966644077
-
Rated 0 out of 5
Longhorn Computer Science Grade 8 (Approved) by Longhorn
KSh877.00Original price was: KSh877.00.KSh790.00Current price is: KSh790.00.Add to cartLonghorn Computer Science Learners Book is a new, concise and comprehensive course book written for Grade 8 learners. It is
developed in line with the Kenya Competency-Based Curriculum (CBC). The aim is to give learners opportunities to develop a wide range of skills and competencies envisaged in the curriculum.ISBN: 9789966644152
-
Rated 0 out of 5
Mentor Kielekezi cha Kiswahili Gredi 8 (Approved) by Mentor
KSh1,022.23Original price was: KSh1,022.23.KSh920.00Current price is: KSh920.00.Add to cartKielekezi cha Kiswahili Gredi ya 8 kimeandaliwa kwa ustadi ili kumrahisishia mwanafunzi kuelewa na kufikia matokeo maalumu
yanayotaragjiwa.Kitabu hiki:
-Kimeandikwa kumwezesha mwanafunzi kukuza na kujenga ujuzi na uwezo wa kutumia stadi za lugha; Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Kuandika na Sarufi.
-Kimeandikwa kwa lugha rahisi na kutoa mifano mwafaka katika mazingira tofautitofauti.
-Kimeshughulikia masuala mtambuko kama vile: uraia, utangamano, elimu ya amani, stadi za maisha, mazingira, elimu ya maendeleo endelevu, teknolojia na afya bora.
-Kina mazoezi muhimu ya kumtathmini mwanafunzi na pia kujitathmini.
-Kina maswali ya tathmini mwishoni mwa kila sura ili kumsaidia mwanafunzi kufanya marudio zaidi.
-Kimeandikwa na waandishi wenye tajriba kubwa katika ufundishgji wa somo la Kiswahili katika shule bora nchini Kenya. Wanaelewa vyema mahitaji ya mwanafunzi na mwalimu katika somo la Kiswahili na Mtaala wa Kiumilisi.
-
Rated 0 out of 5
OUP Computer Science Today Grade 8 (Approved) by Oxford
KSh1,022.23Original price was: KSh1,022.23.KSh920.00Current price is: KSh920.00.Add to cartComputer Science Today is a series specially written to provide practical experiences that support the acquisition of skills for the
Competency Based Curriculum. Books in the series have a wide range of activities that learners will find exciting and motivating.
The activities are aimed at acquisition and appreciation of the core competencies, values, and Pertinent and Contemporary
Issues (PCIs).ISBN: 9789914441581
Reviews
There are no reviews yet.