Sale
Kiswahili-Workbook-6

Kiswahili Dadisi Workbook Gredi Ya 6

0 customer reviews

Original price was: KSh 770.00.Current price is: KSh 730.00.

Compare
Category:
Kiswahili Dadisi Workbook Gredi Ya 6
Original price was: KSh 770.00.Current price is: KSh 730.00.

Kiswahili Dadisi Workbook ni mfululizo wa kipekee wa vitabu vya mazoezi katika Mtalaa mpya wa Umilisi. Kila kitabu katika mfululizo huu kimefanyiwa utafiti wa kina na kuandikwa kwa ustadi ili kuwasaidia wanafunzi kupata umilisi wa kimsingi, ujuzi, maadili na kuwa na mitazamo bora maishani. Vitabu hivi vinatoa utaratibu mwafaka wa kufanya mazoezi ya lugha kwa njia nyepesi na ya kueleweka.

Kitabu hiki:

  • Kimeandikwa kwa kufuata utaratibu uliopendekezwa kwenye mtaala.
  • Kina mazoezi mengi ya kuchangamsha na kuelimisha, na ambayo yatamwezesha mwanafunzi kujenga na kupanua umilisi katika kila suala kuu.
  • Kina tathmini tamati ambayo mwanafunzi anaweza kufanya ili kukadiria umilisi wa jumla kwa mada zote.

Majibu ya mazoezi katika kitabu hiki yanapatikana kwenye Msimbo wa QR ulio katika sehemu ya yaliyomo

Reviews

0
0 customer reviews
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kiswahili Dadisi Workbook Gredi Ya 6”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Let's chat

Your Cart

1
KSh 730.00

Select at least 2 products
to compare

Your Cart

1
Kiswahili Dadisi Workbook Gredi Ya 6

Kiswahili Dadisi Workbook Gredi Ya 6

You Saved 5%
Quantity
KSh 770.00 KSh 730.00
Payment Details
Sub Total KSh 730.00
Free shipping Free!
Shipping to Nairobi County.
Total KSh 730.00