Kiswahili Dadisi Workbook Gredi 3
Rated 0 out of 5
0 customer reviews
KSh 650.00 Original price was: KSh 650.00.KSh 585.00Current price is: KSh 585.00.

Kiswahili Dadisi Workbook Gredi 3
Kiswahili Dadisi Workbook ni mfululizo wa kipekee wa vitabu vya mazoezi katika Mtaala wa Kiumilisi. Kila kitabu katika mfululizo huu kimefanyiwa utafiti wa kina na kuandikwa kwa ustadi ili kumsaidia mwanafunzi kupata umilisi wa kimsingi, ujuzi, maadili na kuwa na mitazamo bora maishani. Vitabu hivi vinatoa utaratibu mwafaka wa kufanya mazoezi ya lugha kwa njia nyepesi na ya kueleweka.
Kitabu hiki:
- kimeandikwa kwa kufuata utaratibu uliopendekezwa kwenye mtalaa.
- kina mazoezi mengi ya kuchangamsha na kuelimisha, na ambayo yatamwezesha mwanafunzi kujenga na kupanua umilisi katika kila suala kuu.
- kina tathmini tamati ambayo mwanafunzi anaweza kufanya ili kukadiria umilisi wa jumla kwa mada zote.
- Majibu ya mazoezi katika kitabu hiki yanapatikana kwenye Msimbo wa QR ulio katika sehemu ya yaliyomo.
Reviews
0
Rated 0 out of 5
0 customer reviews
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0
Be the first to review “Kiswahili Dadisi Workbook Gredi 3” Cancel reply
Related Products
CONQUER COMPOSITION WRKBOOK GRADE 3
Rated 0 out of 5
(0)
DISTINCTION MATHEMATICS GRADE 3
Rated 0 out of 5
(0)
DISTINCTION ENCYCLOPAEDIA GRADE 3
Rated 0 out of 5
(0)
ATFAAL IRE ACTIVITY GRADE 3
Rated 0 out of 5
(0)
BEGINNING CREATIVE GRADE 3
Rated 0 out of 5
(0)
DISTINCTION HYGIENE WORKBOOK GRADE 3
Rated 0 out of 5
(0)
EARLY GRADE ENGLISH GRADE 3
Rated 0 out of 5
(0)
CBC BREAKTHROUGH WORKBOOK VOLUME 2 GRADE 3 MORAN
Rated 0 out of 5
(0)
DISTINCTION CRE GRADE 3
Rated 0 out of 5
(0)
CBC BREAKTHROUGH WORKBOOK VOLUME 1 GRADE 3 MORAN
Rated 0 out of 5
(0)
EARLY GRADE KISWAHILI GRADE 3
Rated 0 out of 5
(0)
DISTINCTION CREATIVE GRADE 3
Rated 0 out of 5
(0)
Brands :
AKILI PEVU KISWAHILI ANGAZA GRADE 3 EAEP
Rated 0 out of 5
(0)
DISTINCTION ENGLISH GRADE 3
Rated 0 out of 5
(0)
CHECHE ZA INSHA GRADE 3 STORYMOJA
Rated 0 out of 5
(0)
ENGLISH AID GRADE 3 JBP
Rated 0 out of 5
(0)
DISTINCTION KIPEO CHA KISWAHILI GRADE 3
Rated 0 out of 5
(0)

There are no reviews yet.