Sale
REV-Kiswahili-Dadisi_WKB1-COVER-1-scaled

Kiswahili Dadisi Workbook Gredi 1 Toleo La 2024

0 customer reviews

Original price was: KSh 550.00.Current price is: KSh 490.00.

Compare
Category:
Kiswahili Dadisi Workbook Gredi 1 Toleo La 2024
Original price was: KSh 550.00.Current price is: KSh 490.00.

Kiswahili Dadisi Workbook ni mfululizo wa kipekee wa vitabu vya mazoezi katika Mtaala wa Kiumilisi. Kila kitabu katika mfululizo huu kimefanyiwa utafiti wa kina na kuandikwa kwa ustadi ili kumsaidia mwanafunzi kupata umilisi wa kimsingi, ujuzi, maadili na kuwa na mitazamo bora maishani. Vitabu hivi vinatoa utaratibu mwafaka wa kufanya mazoezi ya lugha kwa njia nyepesi na ya kueleweka.

Kitabu hiki:

  • kimeandikwa kwa kufuata utaratibu uliopendekezwa kwenye mtalaa.
  • kina mazoezi mengi ya kuchangamsha na kuelimisha, na ambayo yatamwezesha mwanafunzi kujenga na kupanua umilisi katika kila suala kuu.
  • kina tathmini tamati ambayo mwanafunzi anaweza kufanya ili kukadiria umilisi wa jumla kwa mada zote.

Majibu ya mazoezi katika kitabu hiki yanapatikana kwenye Msimbo wa QR ulio katika sehemu ya yaliyomo.

Reviews

0
0 customer reviews
5
0
4
0
3
0
2
0
1
0

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kiswahili Dadisi Workbook Gredi 1 Toleo La 2024”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Let's chat

Your Cart

1
KSh 320.00

Select at least 2 products
to compare

Your Cart

1
CONQUER COMPREHENSION WRKBOOK GRADE 1

CONQUER COMPREHENSION WRKBOOK GRADE 1

You Saved 20%
Quantity
KSh 400.00 KSh 320.00
Payment Details
Sub Total KSh 320.00
Free shipping Free!
Shipping to Nairobi County.
Total KSh 320.00